Home Dauda TV “Timu kubwa zikipotea soka la Tanzania litakufa”-Mwakyembe

“Timu kubwa zikipotea soka la Tanzania litakufa”-Mwakyembe

9694
0
SHARE

Waziri wa Habari, Utwmaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harison Mwakyembe amesema Simba na Yanga ndio zinefanya soka la Tanzania lipo hapa leo, ikitokea timu hizi zikateteleka  soka la Tanzania litakufa.

“Hizi timu kubwa zikitetereka, zitapotea na zikipotea soka la Tanzania litakufa”-Dr. Harrison Mwakyembe.

Mwakyembe alialikwa kwenye Mkutano Mkuu wa klabu ya Yanga unaendelea kwenye ukumbi wa Police Officer’s Mess.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here