Home Dauda TV Mzee Akilimali kauwasha moto baada ya kusikia Manji anarudi Yanga

Mzee Akilimali kauwasha moto baada ya kusikia Manji anarudi Yanga

13177
0
SHARE

Mzee Ibrahim Akilimali amezisikia habari za wanachama wenzake wa Yanga kupitia Mkutano Mkuu kukataa barua ya mwenyekiti wao Yusuf Manji kujiuzulu nafasi yake katika klabu.

Kwa pamoja wanachama wa Yanga waliohudhuria Mkutano Mkuu, wamekataa kupitisha barua ya mwenyekiti wao Manji kujiuzulu nafasi ya uenyekitti.

Manji alijiuzulu uenyekiti wa Yanga mwezi May 2017 na kumwacha makamu mwenyekiti Clement Sanga kukaimu nafasi ya mwenyekiti.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here