Home Dauda TV Wachezaji Ndondo Cup msikilizeni Geoff Lea

Wachezaji Ndondo Cup msikilizeni Geoff Lea

8279
0
SHARE

Mchambuzi wa masuala michezo Geoff Lea amesema mashindano ya Ndondo Cup ni daraja kwa wachezaji kupiga hatua kwenda sehemu nyingine ikiwa ni pamoja na kusajiliwa na vilabu vya daraja la pili, daraja la kwanza hadi ligi kuu.

Lea amesema wachezaji wanaonesha uwezo wa juu kwenye Ndondo licha ya ubovu wa viwanja kwa sababu wanakuwa huru kufanya watakavyo ukilinganisha na kwenye mechi za ligi na mashindano mengine.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here