Home Dauda TV Samatta baada ya kuwafunga TeamKiba

Samatta baada ya kuwafunga TeamKiba

12766
0
SHARE

June 9, 2018 umechezwa mchezo wa kirafiki wa hisani kati ya TeamSamatta na TeamKiba ambao ulimalizika kwa TeamSamatta kuibuka na ushindi wa magoli 4-2 dhidi ya TeamKiba.

Lengo kuu la mchezo huo ni kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya elimu lakini pia kuburudika na kufurahi na mashabiki wao.

Baada ya mchezo huo nahodha wa timu ya taifa na mshambuliaji wa KRC Genk Mbwana Samatta amezungumzia mafanikio katika mchezo huo pamoja na matokeo ya uwanjani.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here