Home Dauda TV Rais wa TFF kafunguka kuhusu Ndondo Cup

Rais wa TFF kafunguka kuhusu Ndondo Cup

6923
0
SHARE

Miongoni mwa wadau wa muhimu kwenyesoka ni Rais wa TFF Wallace Karia, leo alijumuika na mashabiki kushuhudia game ya ufunguzi wa Ndondo Cup 2018.

Dauda TV imefanikiwa kufanya nae mahojiano ambapo amepongeza pamoja na kutoa ushauri  kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo Ndondo Cup ili kufanya mashindano hayo kupiga hatuabele zaidi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here