Home Dauda TV Ngasa apagawa na Ndondo Cup

Ngasa apagawa na Ndondo Cup

8389
0
SHARE

Kwenye uzinduzi wa Ndondo Cup 2018 Dauda TV imekutana na mtanzania ambaye amewahi kucheza mechi ya ushindani dhidiya kikosi cha Manchester United.

Anko alicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Manchester United iliyofanyikia Marekani ambako Man United ilikuwa tour wakati huo Ngasa alikuwa anafanya majaribio kwenye klabu ya Seattle Sounders ya Marekani.

Ametoa mtazamo wake kuhusu mashindano ya Sports Xtra Ndondo Cup ambapo amesema mashindano yatakuwa makubwa zaidi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here