Home Dauda TV Mbwembwe za Joti kabla ya mechi TeamSamatta vs TeamKiba

Mbwembwe za Joti kabla ya mechi TeamSamatta vs TeamKiba

9336
0
SHARE

Kuelekea mchezo wa hisani kati ya TeamSamatta dhidi ya TeamKiba, Comedian maarufu nchini Joti alipewa jukumu la kuwa msemaji wa TeamSamatta.

Joti haishiwi vituko kabisa, leo kabla ya mechi kuanza alijitamba sana timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya TeamKiba. Dauda TV ilifanikiwa kumnasa Joti akiwa dressing room ya TeamSamatta na kupiga nae stori kabla ya mechi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here