Home Dauda TV Kabwili mara ya kwanza uwanja wa Ndondo na alichojifunza

Kabwili mara ya kwanza uwanja wa Ndondo na alichojifunza

7745
0
SHARE

Golikipa chipukizi wa Yanga na timu ya taifa Ramadhani Kabwili kwa mara ya kwanza ameshuhudia mechi ya Ndondo Cup akiwa uwanjani, hiyo ilikuwa ni ufunguzi wa msimu wa 2018 Keko Furniture dhidi ya Mabibo Market.

Kabwili amesema licha ya kuingia uwanjani kwa mara ya kwanza kuangalia game ya Ndondo, kuna vitu amejifunza ambavyo vitamsaidia kwenye mechi zinazochezwa kwenye viwanja ambavyo havina ubora.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here