Home Dauda TV Alichosema King Kiba baada ya mechi TeamSamatta vs TeamKiba

Alichosema King Kiba baada ya mechi TeamSamatta vs TeamKiba

11240
0
SHARE

Wakati TeamSamatta inaongoza 3-2 dhidi ya TeamKiba, TeamKiba ilipata penati na ilikuwa nafasi kwao kusawazisha na kurudi kwenye mchezo lakini nahodha mwenyewe King Kiba akapaisha mkwaju wa penati na kuendelea kuipa timu yake wakati mgumu kusawazisha.

Baada ya game King Kiba amesema kabla hajapiga mkwaju wa penati Samatta alimfuata na kumnong’oneza kumuomba asifunge ndio maana akapaisha (utani).

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here