Home Dauda TV Alichofanya Joti baada ya ushindi wa TeamSamatta

Alichofanya Joti baada ya ushindi wa TeamSamatta

11339
0
SHARE

Firimbi ya mwisho ilipopulizwa kuashiria kumalizika kwa mechi ya kirafiki ya hisani TeamSamatta vs TeamKiba, msemaji wa TeamSamatta Joti, alizama uwanjani na kuanza kuonesha ufundi kwa ku-contral mpira.

Joti alikuwa anadhihirisha kwamba ukiachana na kutema maneno ambayo ndiyo kazi alipewa kuifanya, yeye mwenyewe yupo fit na anaweza kuingia uwanjani kuoneshana kazi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here