Home Dauda TV Masoud Djuma kuhusu ishu ya kujiuzulu Simba

Masoud Djuma kuhusu ishu ya kujiuzulu Simba

11544
0
SHARE

Kocha msaidizi wa Simba Masoud Djuma amekanusha taarifa inayosambaa kwenye social media kwamba amejiuzulu kuifundisha klabu hiyo ambayo kwa sasa ipo nchini Kenya ikiendelea na mashindano.

Kocha huyo amesema hawezi kuondoka Simba hadi akamilishe kilichompeleka.

“Sijajiuzulu, maneno hayo siyajui ninamkataba Simba na nimepanga kumaliza mkataba wangu kwa amani, mimi nipo hadi nihakikishe nimefanya kilichonileta Simba”-Masoud Djuma.

Click ‘play’ hapa chini usikilize sauti ya Masoud Djuma alivyokanusha story inayo-trend kwenye social media kwamba ameikacha Simba.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here