Home breaking news Breaking news: Fred atua Manchester kufanya vipimo

Breaking news: Fred atua Manchester kufanya vipimo

10535
0
SHARE

*Kona Ya Fuku-Fuku…*

MCHEZAJI kutoka Brazil anayekipiga katika klabu ya Shakthar Donestik Fred, ameonekana akiingia katika viwanja vya mazoezi vya klabu ya Manchester United kwaajili ya kukamilisha usajili wake.

Fred anatarajia kupima vipimo vya afya siku ya leo na kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji halali wa klabu ya Man United.

Fred atajiunga na United kwa ada ya Euro 52 milioni.

~ Daniel S.Fute

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here