Home Dauda TV Tanzania imepokea ugeni, ni mchezaji wa zamani wa Liverpool

Tanzania imepokea ugeni, ni mchezaji wa zamani wa Liverpool

11522
0
SHARE

Asikwambie mtu Bongo nzuri, inavutia na tamu, kama ulikuwa hujui chukua hii toka kwangu, beki kitasa wa zamani wa Liverpool Martin Skrtel ambaye kwa sasa anakipiga Fenerbahce ameshuka Kilimanjaro International Airport kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali nchini.

Taarifa za ujio wake nilizinyapia kupitia account yake ya instagram baada ya ku-post tickets tatu (yeye, mkewame na mtoto) zikionesha wanakuja kutembelea Tanzania.

Mishale ya saa 7:30 usiku jamaa akatua zake nchini pamoja na familia yake.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here