Home VPL Nditi kurudi kimataifa kwa mgongo wa Singida

Nditi kurudi kimataifa kwa mgongo wa Singida

9402
0
SHARE

Kama hujui basi taarifa hii ikufikiea, Shabani Nditi ndiye mchezaji pekee wa kikosi cha Mtibwa Sugar ambaye alikuwepo wakati timu hiyo uliposhiriki kwa mara ya mwisho mashindano ya kimataifa kabla ya kufungiwa.

Nditi amesema Mtibwa inahitaji kushinda taji la ASFC ili kupata fursa ya kucheza mechi za kimataifa.

“Tutachukua ubingwa ili Mtibwa ipate fursa ya kucheza mashindano ya kimataifa, kila mchezaji anatafuta nafasi ya kucheza mashindano ya kimataifa kwa sababu ya kuonekana zaidi.”

“Itakuwa ni fursa nzuri kwa wachezaji wa Mtibwa kuonesha uwezo wazo kimataifa ili wajiuze.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here