Home Kitaifa Msimamo wa TFF kuhusu uwakilishi wa Mtibwa kimataifa endapo itashinda kombe la...

Msimamo wa TFF kuhusu uwakilishi wa Mtibwa kimataifa endapo itashinda kombe la ASFC

9727
0
SHARE

Kwa wale ambao bado wana wasiwasi kuhusu uwakilishi wa Mtibwa Sugar kwenye mashindano ya Caf endapo watafanikiwa kushinda taji la ASFC, TFF imetoa msimamo wake kupitia Kaimu Katibu Mkuu Wilfred Kidao.

“Bingwa wa kesho ndio mwakilishi wetu wa nchi kwenye mashindano ya shirikisho. Mtibwa walipata adhabu ya kufungiwa miaka mitatu kushiriki mashindano ya Caf.”

“Mtibwa walipata adhabu na wenye kutoa adhabu ni Caf, wao ndio wanatuambia adhabu hii imeisha au haijaisha.”

“Kama kutakuwa na kitu kingine tofauti watatuelezea lakini mpaka sasa hivi Mtibwa wakishinda ASFC wanakwenda kuwakisha nchi yetu.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here