Home Dauda TV Video-Msuva baada ya kuwasili Dar toka Morocco

Video-Msuva baada ya kuwasili Dar toka Morocco

8236
0
SHARE

Mchezaji wa club ya Difaa El Jadida na Taifa Stars Simon Msuva amerudi nchini akitokea Morocco kwa ajili ya mapumziko mafupi kabla ya kujiunga na timu yake kuendelea na michuano ya Afrika (Caf Champions League).

Msuva amesema amefanikiwa kuwa mchezaji pekee wa kigeni kuingia top 10 ya wafungaji bora wa ligi kuu ya Morocco (Bolota Pro) akiwa na maoli 11.

“Nikiwa kwenye msimu wa kwanza nimeweza kufunga magoli 11 na kuwa mchezaji pekee wa kigeni kuingia kwenye top ten ya wafungaji wa ligi ya Morocco, wengine wote ni wazawa”-Simon Msuva.

“Nafunga kwa sababu kocha ananitumia kama mshambuliaji au wakati mwingine nacheza nyuma ya mshambuliaji.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here