Home World Cup Tiketi ya Bombadia: Addidas na Nike watambiana ubora wa viatu

Tiketi ya Bombadia: Addidas na Nike watambiana ubora wa viatu

6912
0
SHARE

*Safari Ya Urusi….*

KUELEKEA fainali za Kombe la Dunia. Kampuni inayoshughulika na uundaji wa vifaa vya michezo ‘NIKE’, imetoa aina ya viatu ambavyo vitazinduliwa na kuchezewa rasmi katika mechi za Kombe la Dunia mwaka 2018 kwa wachezaji wenye mkataba na kampuni hiyo.

Kampuni hiyo imetoa aina ya viatu vinne, ambavyo vinatambulika kwa majina ya:

1. Nike Hypervenom Phantom III DF (Rangi: White, Metallic Cool Grey).

2. Nike Magista Obra II DF (Rangi: White / Metallic Cool Grey / Light Crimson).

3. Nike Mercurial Superfly 6 (Rangi: White / Metallic Cool Grey / Total Orange).

4. Nike Tiempo Legend VII (Rangi: White / Metallic Cool Grey / Blue Hero).

Kwa Upande wa Addidas

Adidas’, imetoa aina ya viatu ambavyo vitazinduliwa na kuchezewa rasmi katika mechi za Kombe la Dunia mwaka 2018 kwa wachezaji wenye mkataba na kampuni hiyo.

Kampuni ya Addidas hapo awali ilijulikana kama Gebrüder Dassler Schuhfabrik. Na ilianzishwa na Dassler.

Makao yake Makuu yapo Ujerumani

Kampuni hiyo imetoa aina ya viatu vitatu, ambavyo vinatambulika kwa majina ya:

1.Adidas Nemeziz 2018
(Ambavyo hivi vina rangi ya machungwa).

2.Adidas Predator 18
(Ambavyo hivi vina rangi ya njano).

3.Adidas X 2018
(Ambavyo hivi vina rangi ya bluu).

Safari ya Urusi ni tamu sana, wewe unachelewa.!

 

 

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here