Home Dauda TV Video-Rais Magufuli alivyowakabidhi Simba kombe la VPL

Video-Rais Magufuli alivyowakabidhi Simba kombe la VPL

8477
0
SHARE

Tukio kubwa leo kwenye uwanja wa taifa ilikuwa ni Simba kukabidhiwa kombe lao la ubingwa wa VPL na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ambaye ameifanya shughuli hiyo kuwa kubwa kuliko ilivyotarajiwa.

Mageti ya uwanja wa taifa yalifunguliwa mapema sana asubuhi na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kuitikia wito wa viongozi wao na kupendeza kwa rangi za jezi zao nuekundu na nyeupe.

Saa 8:00 mechi ikaanza kati ya Simba na Kagera Sugar, mchezo huo ambao haukuwa wakuvutia sana  KageraSugar wakapata ushindi wa goli 1-0 na kuharibu mbio za Simba kumaliza msimu wa ligi bila kupoteza mechi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here