Home Dauda TV Video-Okwi kampa ubingwa Mafisango

Video-Okwi kampa ubingwa Mafisango

9187
0
SHARE

Mei 19, 2018 Simba ilikabidhiwa kombe la VPL ikiwa bingwa wa msimu huu 2017/18 baada ya kutangaza ubingwa mechi tatu kabla ya ligi kumalizika.

Simba ikicheza mechi yake ya mwisho msimu huu kwenye uwanja wa taifa, ilikuwa ni fursa kwao kuoewa kombe hilo mbele ya mashabiki wao lukuki.

Baada ya mchezo kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar, Emanuel Okwi alionesha T-shirt ambayo ilikuwa na ujumbe kifuani kwa ajili ya kumuenzi kiungo wa zamani wa klabu hiyo marehemu Patrick Mafisango.

Waandishi wa habari wakataka kujua sababu ya Okwi kuvaa T-shirt uenye ujumbe huo wa kumkumbika na kumuenzi Mafisango.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here