Home Dauda TV Ushauri wa Shaffih Dauda kuhusu usajili wa Salamba Yanga “ni vizuri kukumbushana”

Ushauri wa Shaffih Dauda kuhusu usajili wa Salamba Yanga “ni vizuri kukumbushana”

11327
0
SHARE

Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao amefafanua namna ambavyo Yanga wanaweza kuendelea na michakato ya kutafuta wachezaji watatu kwa ili kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya mashindano ya kombe la shirikisho Afrika hatua ya makundi.

Shaffih Dauda ameitahadharisha Yanga kuhusu usajili wa mchezaji huyo ambaye kama atajiunga na Yanga atakuwa anachezea klabu ya tatu ndani ya msimu mmoja jambo ambalo ni kinyume na kanuni za mchezo wa soka.

“Mchezaji kucheza timu tatu ni jambo ambalo halikubaliki kwa mujibu wa taratibu ni vizuri kukumbushana, anaweza akasajiliwa na akacheza lakini ikija kugundulika watu wanarudi kwenye kanuni ‘wanakuchinja’.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here