Home Dauda TV #Road2Russia: Ninavyoikumbuka Senegal vs France 2002

#Road2Russia: Ninavyoikumbuka Senegal vs France 2002

9704
0
SHARE
Senegal's El Hadji Diouf (l) skips past France's Frank Leboeuf

Umebaki mwezi mmoja kuelekea fainali za kombe la Dunia nchini Russia, nitakuwa nikikuletea mambo mbalimbali yahusuyo fainali hizo zinazotarajiwa kuteka wadau wengi wa mchezo wa soka.

Kuelekea fainali hizo, nitakuletea mechi 30 ambazo sitozisahau katika historia ya mashindano ya kombe la dunia tangu nianze kufuatilia mashindano hayo.

Leo naanza na mchezo wa Senegal vs France mwaka 2002.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here