Home Dauda TV Yanga wapewa mwaliko na Manara “Yanga ni majirani zetu”

Yanga wapewa mwaliko na Manara “Yanga ni majirani zetu”

11126
0
SHARE

Pamoja na mambo mengine, ofisa habari wa Simba Haji Mana amesema wanaandaa utaratibu wa kufanya sherehe kubwa zaidi ya Simba Day kusherekea ubingwa wa VPL walioutwaa msimu huu.

Manara amesema kwenye party hiyo hawataacha kuwaalika watani zao Yanga kupiga pialau la ubingwa.

“Yanga wasiwe na wasiwasi tutawakaribisha, hawa ni ndugu na jamaa zetu tutawakaribisha mpunga na party zote sisi sio wachoyo wa fadhila”-Haji Manara.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here