Home Dauda TV Video-Shabiki atumia zaidi ya Tsh. 200,000 kwa ajili ya Simba

Video-Shabiki atumia zaidi ya Tsh. 200,000 kwa ajili ya Simba

7413
0
SHARE

Kuna mashabiki wa kweli ambao wapo tayari kufanya chochote kwa ajili ya timu zao, Dauda TV imekutana na shabiki wa Simba Anchelius Rwegasira Richard ambaye ametumia zaidi ya Tsh. 200,000 kwa ajili ya kuupokea ubingwa wa VPL.

Rwegasira amesafiri kutoka Mwanza hadi Singida ambapo atatumua zaidi ya Sh. 50,000 kwa ajili ya nauli, ametupia mavazi yenye thamani ya 180,000 achana na kiingilio, chakula na malazi.

Shabiki huyo ameiambia Dauda TV anafanya yote hayo kutokana na mapenzi yake ya dhati kwa Simba timu ambayo ameanza kuipenda tangu akiwa na miaka saba (7).

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here