Home Dauda TV Singida yanogesha ubingwa wa Simba

Singida yanogesha ubingwa wa Simba

9398
0
SHARE

Simba imecheza mechi yake ya 28 bila kupoteza baada ya ushindi wake wa goli 1-0 dhidi ya Singida United kwenye uwanja wa Namfua mkoani Singida.

Simba imeshinda mechi tano kati ya sita zilizopita, Mtibwa Sugar 0-1 Simba, Simba 3-1 Mbeya City, Lipuli 1-1 Simba, Simba 1-0 Yanga, Simba 1-0 Ndanda, Singida United 0-1 Simba.

Singida United imeichangia Simba pointi sita na magoli sita, mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi Simba ilishinda 4-0 dhidi ya Singida United na mchezo wa marudiano uliochezwa leo Simba imeshinda 1-0  ugenini dhidi ya Singida United.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here