Home Kitaifa Simba imepewa heshima waliyonyimwa Barcelona

Simba imepewa heshima waliyonyimwa Barcelona

11894
0
SHARE

Simba wamepewa heshima yao na Singida United kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida kabla ya kuanza mechi yao ya ligi kuu Tanzania bara.

Ni utaratibu uliozoeleka nchi mbalimbali ambapo timu ikitangaza ubingwa kabla ya ligi kumalizika, timu pinzani hujipanga pande mbili nje ya uwanja halafu timu bingwa inapita katikati kwa lugha ya kigeni wanaita ‘guard of honor’.’

Hivi karibuni Barcelona walitawazwa mabingwa wa La Liga 2017/18 kabla ya mechi ya mwisho ya msimu, katika mchezo wa El Classico Real Madrid walikataa kuwawekea Barcelona ‘guard honor’ kitu ambacho leo wamekifanya Singida United.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here