Home Kimataifa Video-Yanga walivyotua Dar kutoka Algeria

Video-Yanga walivyotua Dar kutoka Algeria

8786
0
SHARE

Kikosi cha Yanga kimewasili Dar leo Jumanne Mei 8, 2018 kikitokea Algeria ambako kilicheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika (CCC) na kupoteza mchezo huo kwa kufungwa 4-0.

Baada ya kurejea nchini, Yanga inakabiliwa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Tanzania Prisons Alhamisi ya Mei 10, 2018 mchezo ambao unatarajiwa kuchezwa uwanja wa Sokoine-Mbeya.

Ikitoka mkoani Mbeya, Yanga itacheza mechi nyingine ya VPL dhidi ya Mtibwa Sugar Mei 13, 2018 kwenye uwanja wa Jamhuri mkoni Morogoro kabla ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Rayon Sports Mei 16, 2018 kwenye uwanja wa taifa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here