Home Kimataifa Video-Yanga vs Rayon Sports kuhukumiwa na waangola

Video-Yanga vs Rayon Sports kuhukumiwa na waangola

7829
0
SHARE

Kuelekea mchezo wa makundi kombe la shirikisho Afrika kati ya Yanga (Tanzania) dhidi ya Rayon Spots (Rwanda), TFF imetaja waamuzi watakaosimamia mchezo huo utakaochezwa uwanja wa taifa Mei 16, 2018.

Waamuzi ni Helder Martins Rodrigues De Carvalho (Referee) Ivanildo Meireles De O Sanche Lopes (Assistant Referee 1), Wilson Valdmiro Ntyamba (Assistant Referee 2), Joao Amado Muanda Goma (Fourth Official) wote kutoka Angola.

Maafisa wengine ni Abebe Solomon Gibresilassie (Commissioner) (Ethiopia), Yoland Mavouroulou (General Coordinator) (Gabon) na Clifford Mario Ndimbo ( Media Officer) Tanzania.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here