Home Dauda TV Video-Kocha Yanga ataja sababu ya kipigo Algeria

Video-Kocha Yanga ataja sababu ya kipigo Algeria

10835
1
SHARE

Yanga wamepoteza mechi yao ya kwanza katika hatua ya makundi kwa kufungwa 4-0 na USM Alger kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Caf Confederation Cup) walipocheza ugenini, Algeria.

Baada ya kuwasili Dar wakitokea Algeria, kocha mpya wa Yanga Zahera Mwinyi ametaja sababu iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo kwa idadi kubwa ya magoli.

“Wachezaji wengi walikuwa watoto, waliingia uwanjani wakiwa na woga na walikosa experience lakini ukiangalia timu ya Algeria (USM Alger) wakipata mipira 10 wanaharibu mipira miwili au mitatu, sisi tukipata mipira 10 tunaharibu saba au nane hiyo ndio ilikuwa tofauti”-Zahera Mwinyi.

Comments

comments

1 COMMENT

  1. What’s up,I log on to your new stuff named “Video-Kocha Yanga ataja sababu ya kipigo Algeria | ShaffihDauda” on a regular basis.Your humoristic style is witty, keep up the good work! And you can look our website about proxy list.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here