Home Dauda TV Kocha wa Yanga aipa Simba ubingwa VPL

Kocha wa Yanga aipa Simba ubingwa VPL

10765
0
SHARE

Baada tu ya kutua Dar wakitokea Algeria kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, kocha mpya wa Yanga ameipa Simba ubingwa wa VPL 2017/18 na kushauri viongozi wa timu yake kuweka nguvu ya zianda kwenye mashindano ya Afrika.

“Simba itamaliza nafasi ya kwanza na kuwa bingwa wa ligi, Yanga ilishatoka kwenye kombe la TFF (FA Cup) imebaki kwenye Confederation Cup kwa hiyo ni vizuri tukiweka nguvu zote huko”-Zahera Mwinyi.

Zahera ameuomba uongozi wa Yanga upeleke timu nyingine Mbeya na Morogoro kwa ajili ya mechi za ligi ili kuwapa mapumziko wachezaji watakaocheza mechi ya kimataifa dhidi ya Rayon Sports Mei 16, 2018.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here