Home Kimataifa Ushauri wa Kaduguda Simba ikitaka ‘kutoboa’ kimataifa

Ushauri wa Kaduguda Simba ikitaka ‘kutoboa’ kimataifa

10344
0
SHARE

Wakati ubingwa wa VPL ukinukia mitaa ya Msimbazi, Katibu Mkuu wa zamani wa klabu ya Simba Mwina Kaduguda ametoa ushauri kwa klabu hiyo kuelea mashindano ya vilabu Afrika msimu ujao endapo Simba itafanikiwa kuwa bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.

Kaduguda amesema kwamba, uongozi wa Simba unatakiwa kutafuta wachezaji wenye ubora unaolingana na mashindano sio wachezaji wa mechi za Stand United, Kagera Sugar na nyingine.

“Kama tutafanikiwa kuchukua ubingwa kitu cha msingi ni kwamba wachezaji wapewe exposure. Sisi tunashindwa kwa sababu hatuna mipango , huwezi amini timu itakayocheza na Yanga kwenye michuano ya Afrika walikuwepo uwanja wa taifa kweye mechi ya Simba na Yanga.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here