Home Dauda TV Waziri Mwakyembe baada ya kuipokea Serengeti Boys

Waziri Mwakyembe baada ya kuipokea Serengeti Boys

9102
0
SHARE

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imewasili nchini alfajiri ya leo Mei 1, 2018 ikitokea Burundi ambako ilitwaa kombe la mashindano ya vijana ya CECAFA Challenge Championship 2018.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliwaongoza watanzania wengine kuwapokea vijana hao ambao uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here