Home Dauda TV Video-Serengeti Boys ilivyopokelewa Dar

Video-Serengeti Boys ilivyopokelewa Dar

8397
0
SHARE

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imewasili nchini alfajiri ya leo Mei 1, 2018 ikitokea Burundi ambako ilitwaa kombe la mashindano ya vijana ya CECAFA Challenge Championship 2018.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliwaongoza watanzania wengine kuwapokea vijana hao ambao uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam.

Serengeti Boys wametwaa ubingwa huo baada ya kuifunga Somalia 2-0 katika mchezo wa fainali.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here