Home Dauda TV Kocha kataja faida Serengeti Boys kucheza CECAFA Championship

Kocha kataja faida Serengeti Boys kucheza CECAFA Championship

10626
0
SHARE

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imewasili nchini alfajiri ya leo Mei 1, 2018 ikitokea Burundi ambako ilitwaa kombe la mashindano ya vijana ya CECAFA Challenge Championship 2018.

Baada ya timu kuwasili Dar, kocha wa Serengeti Boys Oscar Milambo alizungumzia kiufundi faida ya mashindano hayo kwa vijana wake kuelekea fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Tanzania mwaka 2019.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here