Home Dauda TV “Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa nyepesi sana”-Chuji

“Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa nyepesi sana”-Chuji

15045
0
SHARE

Kiungo wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Athumani Idd ‘Chuji’ amesema mehi ya watani wa jadi (Simba vs Yanga) ilikuwa nyepesi sana ukilinganisha na ilivyotarajiwa na wadau wengi.

Chuji ambaye pia aliwahi kucheza Simba amesema mchezo huo ambao Simba ilishinda 1-0 ulikuwa mwepesi kwa timu zote mbili.

“Mchezo wa ulikuwa mwepesi sana kwa upande wa Simba na Yanga, wachezaji wenyewe ndio walikuwa wa kuamua maokeo lakini wameshindwa.”

“Yanga walifungwa goli jespesi sana kutokana na kukosa umakini hakukuwa na rapsha ni wao wenyewe walishindwa kutimiza majukumu yao.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here