Home Dauda TV Maoni ya ‘Uncle’ Ngasa baada ya game Simba vs Yanga

Maoni ya ‘Uncle’ Ngasa baada ya game Simba vs Yanga

20108
0
SHARE

Mrisho Ngasa ‘Uncle’ ni mjongoni mwa mastaa ambao waliishuhudia game ya Simba na Yanga Jumapili ya Aprili 29, 2018 uwanja wa Taifa Dar na Simba kushinda 1-0 katika mchezo huo.

Baada ya mechi Dauda TV ilifanikiwa kumnasa Ngasa ili azungumzie mchezo kwa ujumla ikiwa ni pamoja na maoni yake.

“Ngasa amesema Yanga haijayumba kwa sababu tayari imefuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika, kupoteza mchezo dhidi ya Simba ni matokeo ya mpira. Wawe makini na mechi zinazofuata na kwenye kombe shirikisho ili waweze kufanya vizuri.”

Ngasa anadhani baada ya Hassan Kessy kutolewa nje ya uwanja kwa kadi nyekundu, angeingia Juma Abdul ili apandishe mashambulizi kwa sababu ana uwezo huo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here