Home Dauda TV Video-Goli la Erasto Nyoni lililowanyamazisha Yanga

Video-Goli la Erasto Nyoni lililowanyamazisha Yanga

11516
0
SHARE

Game ya Dar derby hatimaye imepigwa leo Jumapili Aprili 29, 2018 hiyo ni baada ya kusubiriwa kwa hamu kwa muda mrefu, mechi hiyo imemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 1-0.

Goli pekee katika mchezo huo limefungwa na Erasto Nyoni dakika ya 38 kipindi cha kwanza na kudumu hadi mechi inamalizika.

Simba imefikisha pointi 62 baada ya kucheza mechi 26 ikiendelea kuongoza ligi, Yanga inashuka hadi nafasi ya tatu wakiwa na pointi 48 lakini wana mechi mbili mkononi (viporo) nafasi yapili ipo Azam ikiwa na pointi 49 baada ya kucheza mechi 26.

Kimahesabu, Simba imebakiza pointi tano (5) ili kutangazwa mabingwa wapya wa VPL 2017/18.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here