Home Dauda TV Show ya Haji Manara baada ya ushindi wa Simba

Show ya Haji Manara baada ya ushindi wa Simba

14976
0
SHARE

Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga ulimtoa Haji Manara jukwaa la VIP hadi chini kabisa kuja kuwapa show mashabiki wa timu hiyo kusherekea ushindi wa goli 1-0.

Imekuwa kawaida kwa Manara kufanya hivyo hasa pale Simba inapoifunga Yanga. Alifanya hivyo msimu uliopita wakati Simba ilipoifunga Yanga 2-1 katika mchezo wa ligi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here