Home Kitaifa Simba, Yanga kukutana Morogoro

Simba, Yanga kukutana Morogoro

9231
0
SHARE

Kuelekea mchezo wa watani wa jadi Simba dhidi ya Yanga Jumapili Aprili 29, 2018 tayari Simba ipo mkoani Morogoro kwa ajili ya kambi ya maandalizi kabla ya mchezo huo.

Jana jioni Simba ilifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo cha Biblia Highland kwenye mji wa Bigwa nje kidogo ya manispaa ya Morogoro.

Inaelezwa kwamba Yanga nao watatia kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo.

Kivutio kitakuwa pale ambapo timu zote zitahitaji kuutumia uwanja wa chuo cha Highland kwa ajili ya mazoezi kwa ajili ya mchezo wao wa Aprili 29.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here