Home Kitaifa Video-Striker wa Singida United avutiwa na wakali wa Yanga

Video-Striker wa Singida United avutiwa na wakali wa Yanga

7682
0
SHARE

Mshambuliaji wa Singida United Papy Kambale amewamwagia sifa wakali wa Yanga Papy Kabamba Tshishimbi na Ibrahim Ajib kutokana na kiwango walichokionesha kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara Yanga dhidi ya Singida United uliomalizika kwa sare ya timu hizo kufungana 1-1.

Kambale ambaye ndiyo mfungaji wa goli la Singida United katika mchezo huo amesema amevutiwa na kiwango kilichooneshwa na Tshishimbi pamoja na Ajib na kukiri kufurahia aina ya uchezaji wa nyota hao.

“Mchezaji ambaye amecheza vizuri na kunivutia ni ndugu yangu Papy Tshishimbi na Ajib, wamecheza vizuri nimefurahia sana”-Kambale.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here