Home Dauda TV Magoli: Yanga imedondosha pointi mbili vs Singida United

Magoli: Yanga imedondosha pointi mbili vs Singida United

5954
0
SHARE

Yanga wamedondosha pointi mbili baada ya sare ya kufungana 1-1 na Singida United katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Sare hiyo inaweka Yanga nyuma ya Simba kwa pointi tano baada ya timu zote kucheza mechi 22 na kubakiza mechi nane kabla ya ligi kufikia ukingoni. Simba inaongoza ligi ikiwa na pointi 52 huku yanga ikiwa nafasi ya pili kwa pointi zake 47.

Magoli katika mchezo wa leo yamefungwa na Kambale Salita aliyeifungia Singida dakika ya pili kipindi cha kwanza, Shaibu Abdallah ‘Ninja’ akaisawazishia Yanga 45+2.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here