Home Dauda TV Video-Ushindi mkubwa wa Yanga kimataifa 2018

Video-Ushindi mkubwa wa Yanga kimataifa 2018

7281
0
SHARE

Ushindi wa 2-0 nyumbani iliyopata Yanga dhidi ya Wolaitta Dicha Aprili 7, 2018 ndio mkubwa kwa Yanga msimu huu kwenyenmashindano ya kimataifa. Kabla ya hapo Yanga kaikupata ushindi wa zaidi ya goli moja katika mechi nne zilizopita za kimataifa msimu huu.

  • Yanga 1-0 St. Louis
  • St. Louis 1-1 Yanga
  • Yanga 1-2 Township Rollers
  • Township Rollers 0-0 Yanga
  • Yanga 2-0 Wolaitta Dicha

Magoli ya Yanga yamefungwa na Raphael Daudi dakika ya kwanza ya mchezo na Emanuel Martin dakika ya 54

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here