Home Dauda TV Video-Kocha wa Yanga baada ya ushindi dhidi waethiopia

Video-Kocha wa Yanga baada ya ushindi dhidi waethiopia

6768
0
SHARE

Aprili 7, 2018 Yanga ilipata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Wolaitta Dicha ya Ethiopia katika mchezo wa wa kimataifa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika.

Magoli ya Yanga katika mchezo huo yalifungwa na Raphael Daudi dakika ya kwanza ya mchezo na Emanuel Martin dakika ya 54.

Baada ya mchezo huo, kocha msaidizi wa Yanga Shadrack Nsajigwa alizungumza na waandishi wa habari na kusema timu yake ilishindwa kutumia nafasi nyingi kufunga magoli ambayo yangekuwa mtaji mkubwa kuelekea mchezo wa marudiano Aprili 18, 2018 huko Awasa, Ethiopia.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here