Home Dauda TV Video-Cannavaro alivyozungumzia kustaafu

Video-Cannavaro alivyozungumzia kustaafu

6107
0
SHARE

Nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ametangaza hadharani kwamba baada ya misimu miwili au mmoja ndiyo anaweza akaamua kustaafu rasmi soka la ushindani kupisha vijana.

“Bado nina misimu miwili au mmoja halafu ndiyo nitastaafu, mchezaji lazima uwe na malengo kujua nini unafanya mimi bado nina uwezo wa kucheza”-Nadi Haroub Cannavaro.

“Kuna wachezaji wengi wenye umri kama wangu bado wanacheza, mfano George Kavila,
Shabani Nditi na Henry Joseph wote wanacheza.”
Kwenye mchezo wa kimataifa Yanga dhidi ya Wolaitta Dicha ‘Cannavaro’ allingia akitokea benchi kuchukua nafasi ya Vicent Andrew ambaye aliumia dakika za mwisho katika mchezo huo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here