Home Dauda TV Video-Hukumu ya kamati ya rufaa kwa Wambura

Video-Hukumu ya kamati ya rufaa kwa Wambura

4831
0
SHARE

Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura ambaye alifungiwa maisha kujihusisha na masuala ya soka.

Baada ya kupitia hoja zake za kukata rufaa, kamati hiyo imejiridhisha na uamuzi wa awali wa kamati ya maadili kumfungia maisha.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here