Home Kitaifa Singida washindwe wao kwa Mudathir

Singida washindwe wao kwa Mudathir

7154
0
SHARE

Mudathir Yahya anayecheza kwa mkopo Singida United, mkataba wake na Azam FC umemalizika hivyo mchezaji huyo yupo huru kujiunga na timu yoyote.

Afisa habari wa Azam FC Jafar Idd amefafanua kuhusiana na taarifa ya Mudathir Yahya kumaliza mkataba wake naklabu hiyo.

“Timu ya Singida United baada ya kupanda ligi kuu ilituma maombi kutaka mudathir yahaya akacheze kwa mkopo kwenye timu yao tukazungumza nao na alienda baada ya makubaliano ya pande mbili na kucheza kwa mafanikio.”

“Mkataba kati ya azam na mudathir yahya umekwisha, kwa kifupi ni kwamba mchezaji huyo ni huru anaweza kwenda kucheza timu yoyote kwa kwa ajili ya maendeleo yake na maisha yake katika mchezo wa soka.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here