Home Dauda TV Video-Magoli ya Samatta na Kichuya vs DR Congo Machi 27, 2018

Video-Magoli ya Samatta na Kichuya vs DR Congo Machi 27, 2018

13237
0
SHARE

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeshuka dimbani leo Jumanne Machi 27, 2018 kucheza mchezo wa pili wa kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya Fifa, Stars ilikuwa ikicheza dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ‘wazee wa ndombolo’ mchezo ambao umemalizika kwa Tanzania kuibuka na ushindi wa magoli 2-0.

Magoli ya Taifa Stars yamefungwa na Mbwana Samatta dakika ya 74 na Shiza Kichuya dakika ya 85.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here