Home Dauda TV Video-Mechi ya Simba vs Yanga yapangiwa tarehe mpya

Video-Mechi ya Simba vs Yanga yapangiwa tarehe mpya

13302
0
SHARE

Bodi ya ligi imefanya marekebisho kwenye ratiba ya kuu Tanzania bara ambayo ipo kwenye mzunguko wa lala salama, baada ya marekebisho hayo mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga utapigwa Aprili 29, 2018 kwenye uwanja wa taifa.

Mtendaji wa mkuu wa bodi ya ligi Boniface Wambura amesema mechi zote za nyumbani zinazozihusu Simba na Yanga zitachezwa uwanja wa taifa isipokuwa mchezo wa mwisho kati ya Yanga dhidi ya Azam ambao utachezwa uwanja wa Uhuru

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here