Home Kimataifa Matokeo ya michezo mikubwa usiku huu haya hapa

Matokeo ya michezo mikubwa usiku huu haya hapa

8213
0
SHARE

Katika mchezo kati ya timu ya taifa ya Ujerumani na Hispania timu zilikwenda sare ya moja moja huku Rodrigo akitangulia kuifungia Hispania(6) kabla ya Thomas Mueller kuisawazishia Ujerumani.

Timu ya taifa Argentina ilionesha uimara wao mbele ya Argentina baada ya kuibuka kidedea cha mabao 2 kwa nunge huku mabao ya Waargentina yakiwekwa kimiani na Ever Banega pamoja na Manuel Lanzini.

 Jesse Lingard aliwapa Uingereza bao pekee dhidi ya Uholanzi, Victor Moses akawafungia Nigeria bao pekee dhidi ya Poland, huku Salah akiifungia Egypt bao mbele ya Ureno ambao walisawazisha mwishoni kupitia Cr7 nankisha akawafunga lingine dakika ya mwisho na Misri kufa kwa 2-1.

Timu ya soka ya taifa ya Brazil iliwaonesha wenyeji wa kombe la dunia(Urusi) watakachokutana nacho mashindano yakianza baada ya kuwachapa kwa mabao matatu kwa sifuri.

Michezo ya leo inatoa picha nzuri kwa wawakilisha wa Afrika katika michuano ya kombe la dunia kwani ukiacha Misri hakuna muwakilishi mwingine kutikea ukanda huu ambaye amepoteza mchezo wake wa kirafiki hii leo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here