Home Dauda TV Angalia hapa Al Masry vs Simba LIVE

Angalia hapa Al Masry vs Simba LIVE

23046
0
SHARE

Wawakikishi wa Tanzania bara kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika Simba SC eapo nchini Misri kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry.

Mchezo huo ambao utaanza saa 2:30 kwa saa za Afrika Mashariki utakuwa LIVE kupitia YouTube channel ya ON SPORT HD ya Misri. Hadi sasa hakuna kituo chochote cha Television nchini ambacho kimepata haki za matangazo ya mchezo huo.

Katika mchezo wa kwanza ambao ulichezwa Dar es Salaam Simba ililazimishwa sare ya kufungana 2-2 hivyo wekundu wa Msimbazi wanahitaji ushindi wowote ili kufuzu hatua inayofuata ya kwenye mashindano hayo.

Ikifika saa 2:30 usiku, ingia hapa kuangalia live game ya Al Masry dhidi ya Simba.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here