Home Dauda TV “Stand walistahili kubadili matokeo”-kocha Yanga

“Stand walistahili kubadili matokeo”-kocha Yanga

9141
0
SHARE

Kocha wa msaidizi wa Yanga Shadrack Nsajigwa amekiri kwamba kwa namna Stand United walivyokuwa wanaishambulia safu yake ya ulinzi kipindi cha pili, walistahili kubadilisha matokeo kutoka 2-0 lakini Stand hawakutaka kufanya hivyo.

Stand waliliandama goli la Yanga kwa muda mrefu wa kipindi cha pili lakini walishindwa kutumia nafasi walizozitengeneza, walifanikiwa kupata goli moja lakini dakika mbili baadae wakaruhusu goli lililowamaliza nguvu kwa sababu walihitaji kufunga magoli mawili ndani ya dakika tano ili wasawazishe matokeo yawe 3-3.

“Kipindi cha pili Stand United walibadilila wakaja kwa nguvu, walitupa shida sana kwa dakika kama 30 kwa sababu mpira ulikuwa kwao na walijaribu kutengeneza nafasi kadhaaakini walishindwa kuzibadilisha.”

“Badae tukabalika tukapata goli la tatu mechi ikawa imeisha lakini kwa kipindi cha pili Stand walistahili kubadilisha matokeo lakini nafikiri wao hawakutaka kubadilisha matokeo.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here